Tulipata nafasi ya kumtembelea dada Cecilia ambaye ni mfugaji wa kuku anayeamini biashara hii inamfungulia milango ya kutimiza ndoto zake. Ifuate stori yake kwa ufupi hapa.
Blog
Hii stori ni ushuhuda kwamba karibu kila kitu kinawezekana endapo kutatokea mmoja kati yetu ameamini na kupambana. Watupipo ikishirikiana na Shujaaz inc, ilikutana na mama Mary Jackson Mmari na kusikiliza hadithi yake yenye kusisimua na kutoa funzo kubwa kwa akina mama na jamii nzima juu ya biashara na maisha.
Katika kuhakikisha Watupipo inafikia malengo yake ya kuwezesha na kuwaunganisha vijana wa Africa mashariki, tumefungua ofisi zetu ndogo Mara eneo ambalo ni la kimkakati katika kufanikisha mipango ya kampuni ya mwaka 2024. Hivi sasa unaweza kupata huduma za Watupipo kutoka makao makuu ya kampuni Dar es salaam, na ofisi ndogo […]
Moja kati ya mambo yanayo suasua katika kuifanya East Africa community kukua zaidi ni suala la biashara na mifumo ya kikodi. Mpaka hivi sasa nchi washirika zinaendelea kuumiza vichwa kukubaliana mfumo utaofaa kutumika ambao utatoa usawa katika kufaidisha pande zote husika katika biashara zinazovuka mipaka. Lakini hayo yakiendelea kufanyiwa vipimo, […]