Skip to content

New East Africa offices

Katika kuhakikisha Watupipo inafikia malengo yake ya kuwezesha na kuwaunganisha vijana wa Africa mashariki, tumefungua ofisi zetu ndogo Mara eneo ambalo ni la kimkakati katika kufanikisha mipango ya kampuni ya mwaka 2024.

Hivi sasa unaweza kupata huduma za Watupipo kutoka makao makuu ya kampuni Dar es salaam, na ofisi ndogo zinazopatikana wilayani Tarime mkoani mara.