Skip to content

Mume alionekana kushindwa nikapambana mpaka kunusuru kunusuru kiwanda

Hii stori ni ushuhuda kwamba karibu kila kitu kinawezekana endapo kutatokea mmoja kati yetu ameamini na kupambana.

Watupipo ikishirikiana na Shujaaz inc, ilikutana na mama Mary Jackson Mmari na kusikiliza hadithi yake yenye kusisimua na kutoa funzo kubwa kwa akina mama na jamii nzima juu ya biashara na maisha.